copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo
Diamond apewa cheti Cha appreciation Baada ya kujaza ukumbi London Nyota wa Bongo Fleva, diamondplatnumz , ametunukiwa Cheti Maalum cha Heshima baada ya kufanikisha kuuza tiketi zote na kujaza ukumbi maarufu wa Royal Albert Hall jijini London, Uingereza Huu ni utaratibu wa heshima unaotolewa na baadhi ya kumbi kubwa duniani kwa wasanii wanaofanikiwa kufanya
Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu . . . Wakuu Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli? Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu Msanii wa lebo yake WCB Wasafi Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya
SoC01 - Mambo ya kujifunza kwenye mafanikio ya Diamond Platnumz Collabo alizofanya Diamond platnumz ni zao la kufahamiana na watu wa aina tofauti tofauti Lakini pia, mama mzazi wa Diamond amechangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya Diamond kwa kutomzuia kuimba mziki wakati anasoma shule ya msingi na kumnunua CD za album za wasanii wa kipind hicho hii sapoti kutoka kwa mama imechangia mafaniko ya Diamond
Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka
Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade . . . Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26 Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na
Historia ya Nasibu Abdul Juma(Diamond Platnumz) - JamiiForums FAHAMU MACHACHE USIYOYAJUA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ NA JINSI MAMA YAKE ALIVYOMPIGANIA Jina lake halisi anaitwa Nasibu Abdul Juma maarufu kama "Diamond Platnumz", alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana DSM mida ya saa 11 usiku Akiwa mdogo sana baba yake alimtelekeza
Diamond Platnumz afunguka alivyomwaga chozi akishoot . . . - JamiiForums Baada ya Diamond Platnumz kuulizwa na Billboard-: Unaendesha biashara nyingi, kitu gani kuwa boss wako mwenyewe kimekufundisha kuhusu kuwa msanii bora? "Kuwa boss wako mwenyewe ni suala gumu sana, kudhibiti haya mambo yote ni kazi kubwa, na muda mwingine kama upo katikati ya mahojiano unaweza