copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc) TGS A hadi C ni kiwango cha watumisha kwa watumishi wa serikali wanaoanza kazi bila kuwa na shahada Hiyo TGS D ndo wale wanaoitwa maafisa pindi wanapoanza kazi ingawa hata wasiokuwa na shahada wanaweza panda toka A hadi G ambayo huwa ndio kiwango chao cha mwisho hawawezi kupanda zaidi ya hapo labda wawe wamepewa madaraka (sio cheo) Kwa government system, mshahara wa TGD D huanzia around
Mwajiriwa wa serikali wa TGS E anakatwa kiasi gani kwenye kila mshahara . . . Habari wakuu, Mimi sio mwajiriwa ila ni mtafutaji ambaye ikitokea nkaingia kwenye mfumo basi ntakuwa kwenye daraja la TGS E Kujua jambo ni vyema sana, mimi nilikuwa mnufaika wa bodi ya mikopo (HESLB) Napenda kujua taasisi husika kama NHIF, NSSF, PSSSF, HESLB na TRA (PAYE) wanakata kwa
Naomba kujua mshahara wa TGS D Ni sh. ngapi kwa mchumi daraja la II 2 Kwa ujumla, watumishi wa umma wanaofanya kazi kwenye Halmashauri za Wilaya, Manispaa, Majiji na Wizarani wanatumia scale za mishahara kwa mfumo wa TGS, ambao naweza kusema wanalipwa mishahara midogo kulinganisha na wengine nitakaowaelezea katika point namba 4 hapa chini
Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc) Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc) Mshirazi Jan 18, 2010 habari jamvi kufahamu kuhusu mishahara msaada mshahara naomba naombeni ngazi salary salary scale serikali trc 1 … 66 67 68 69 70 …
Nafasi za kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama - JamiiForums 5 0 Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II TGS B – (Nafasi 27) 5 1 Sifa za Kuingilia:- Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti Stashahada ya utunzaji kumbukumbu kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma pamoja na wahitimu wa kidato cha nne sita wenye Diploma ya Sheria kutoka chuo cha Uongozi wa Mahakama 5 2 Kazi za kufanya:-
Sekretarieti ya Ajira Tanzania yatangaza nafasi 851 za Udereva kwa . . . TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali anakaribisha maombi ya kazi ya Madereva watakaoajiriwa katika Ofisi tofauti Serikalini kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi