copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Kufungiwa kwa JF hadi leo ni Mwendelezo wa Ukandamizaji wa uhuru wa . . . Sababu za kufungiwa JF ni muendelezo wa ukandamizaji wa uhuru wa kujielezea ndio maana muda umeisha na JF haijafunguliwa kinyume cha sheria, ni upumbavu Wanazima moto kwa kujaza mafuta na hawawezi tena kuficha upumbavu wao na kudharau sheria za nchi, siku chache zijazo wataona moto
PostGE2025 - Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi . . . JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums Katika hizi siku 90 kuna member wenzetu walipotea kabisa hewani lakini sasa tunaamini watarejea
PostGE2025 - Funzo: Mwana JF aliyeshangilia mauaji ya . . . - JamiiForums Moja kwa moja Baada ya Oct 7 Hamas kufanya tukio baya la kijinga ambalo hata Mimi nilililani hapa Jf , serikali ya Netanyahu chini ya IDF ikafanya mashambulizi na mauaji ya kutisha ambayo waaathirika hawakuwa Hamas peke yake mpaka Raia wasiokuwa na Hatia katika Wazee , watoto nk Na wakaenda
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi | JamiiForums Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege sato
Mpaka Sasa 90+% ya wanachadema wa JF wameifungua na kuisoma katiba ya . . . GenuineMan JF-Expert Member Jun 13, 2017 7,068 16,372 Jul 24, 2025 #12 Ni kwasababu hutumii ubungo wako vizuri, Lakini hamna ubaya katika hilo Na utakuwa umesahau jinsi CCM walivyofuatilia uchaguzi wa Chadema kwa ukaribu mwanzoni mwa mwaka
Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex . . . Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku Hii itakuwa mchezo wa kwanza wa Simba chini ya kocha wake mpya, Steven Barker
Where We Dare To Talk Openly | JamiiForums Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto Sijui kiafya ikoje kama kuna