copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake Mwaka 2009, Diamond alikutana na Bwana Msafiri Peter maarufu kama Papaa Misifa ambae alikubali kumsaidia kimuziki na Kurecord wimbo wa kwanza ulioenda kwa jina la "Nenda kamwambie", wimbo ambao Diamond aliimba kwa uchungu huku akimuimbia mpenzi wake huyo aliyemuacha (Sarah Sadiki) kuelezea kiasi gani aliumia kwa yeye kumuacha kwake, na hapo
Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu . . . Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu Msanii wa lebo yake WCB Wasafi Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania
Objects pop in and out of diamond city, Preculling issues? 4 Diamond City Expansion (major expansion to Diamond City with many new NPCs, cells, buildings and more) That last one, the DC Expansion, adds so many new buildings, signs and billboards that the zone shown by bloodhound's photo is cluttered with many new visual obstructions, and there's no opportunity for pop-in
Diamond, freemason siri nje - JamiiForums Diamond akisalimiana na mtasha kwa ishara ya Kifreemason Stori: Shakoor Jongo na Erick Evarist SIRI imefichukua kuwa madai kwamba kichaa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa Diamond Platnumz ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason a k a Wajenzi Huru zilianza
SoC01 - Mambo ya kujifunza kwenye mafanikio ya Diamond Platnumz Mafanikio ya Diamond yametokana na kazi ya muziki anayofanya kwenye muziki, Diamond amefanikiwa kupata tuzo nyingi za ndani ya nchi na nje ya nchi, kumiliki lebel ya WCB na kufanya collabo na wasanii wakubwa mfano; Rick Ross na Burna boy mafanikio ya Diamond kiuchumi yanaonekana kutokana na kumiliki vitega uchumi vingi kama radio, Tv, Diamond
textures in diamond city disappearing reappearing? Congrats you just fixed your Diamond City issue and saved yourself 13 mod slots and potential game breakage The rest is okayyyy I think you'll get by with it but it needs some tidying Doesn't look like you have much that edits the Leveled Lists but if you do you should consider making a Bashed Patch to make everything nice and compatible
Tetesi: - Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa! Hatimaye! Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana
Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya . . . - JamiiForums Unaweza usimpende Diamond ila amejitahidi kuwatunza ndugu zake isipokuwa baba yake ndugu wa Diamond wanatunzwa,wanakula wanashiba,wanavaa vizuri Konde boy pia niliona picha yababa yako amevaa tshirt ya 5000 dadayako alikuwa amesuka nywele za 2000 Biblia iko wazi,asiyetunza wa kwao atenda dhambi kuliko asiyeamini
Historia ya Nasibu Abdul Juma (Diamond Platnumz) - JamiiForums FAHAMU MACHACHE USIYOYAJUA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ NA JINSI MAMA YAKE ALIVYOMPIGANIA Jina lake halisi anaitwa Nasibu Abdul Juma maarufu kama "Diamond Platnumz", alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana DSM mida ya saa 11 usiku Akiwa mdogo sana baba yake alimtelekeza
Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2. 7 Bilioni kutumbuiza kwenye . . . Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye Kwa mujibu wa Baba Levo, Diamond amelipwa kiasi cha shilingi bilioni 2 7 za Kitanzania kwa ajili ya kutumbuiza katika