copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Humphrey Polepole Ajiuzulu Ubalozi Nchini Cuba: ‘Nakosa Amani ya Moyo . . . Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Hesron Polepole, amemwandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan akimweleza kuhusu uamuzi wake wa kujiuzulu kwenye nafasi hiyo, kwa kile mwanadiplomasia huyo amekiita “kukosa amani ya moyo na imani katika uongozi” aliopo ndani yake kwa sasa
Balozi Polepole ahamishiwa Cuba - Mwananchi Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Balozi mmoja na kufanya mabadiliko ya vituo kwa mabalozi wawili akiwemo Balozi Humphrey Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba
JamiiAfrica | Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole . . . 1,190 likes, 182 comments - jamiiforums on July 13, 2025: "Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amemuandikia barua Rais Samia akitangaza kujiuzulu nafasi ya uwakilishi wa Tanzania nchini Cuba, eneo la Karibe, Amerika ya Kati pamoja na nchi rafiki za Colombia, Venezuela na Guyana - Katika barua hiyo, Polepole ameeleza kuwa ameamua