copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kikiendelea usiku huu Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025 kupitia na kuchuja mapendekezo ya majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti
GE2025 - Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia . . . - JamiiForums CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na kuchuja mapendekezo ya majina ya Wagombea Taarifa hiyo inasubiriwa kwa hamu kubwa, kwani itabainisha majina ya wagombea waliopenya katika hatua za awali za uteuzi kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho tawala Updates
GE2025 - Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya . . . - JamiiForums Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025
GE2025 - Maagizo ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm kurudisha majina ya . . . Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni? Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi
GE2025 - VIDEO: Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na . . . Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu Fuatilia
GE2025 sikilizeni matokeo ya kikao cha CCM live - JamiiForums Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu Sijui baada ya hapa mtakuja na uzushi upi, tunausubiri ila wengine mtawehuka mwaka huu KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, OKTOBA
GE2025 - Kada CCM, Malick Malupu: Mchakato wa kumpata mgombea wa Urais . . . Akizungumza na waandishi wa habari mjini Morogoro Kada wa Chama cha Mapinduzi Mkoani humo, Malick Malupu amesema mchakato wa kumpata mgombea wa kiti cha Urais ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM ulizingatia misingi ya katiba ya chama, demokrasia ya ndani na maadili ya uongozi
Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine . . . Tanzania inaweza kuiga mfumo huo kwa namna yake, ikitumia CCM kama msingi wa umoja, maadili, na maendeleo ya taifa Kwa hiyo, vyama vingine visiwe washindani wa CCM, bali viwe wadau wa ndani vinavyotoa mawazo, ushauri, na wawakilishi katika miundo ya uamuzi ya chama hicho
GE2025 - Hongera nyingi kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais Wa Tanzania Mama . . . Hongera sana Raisi na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema CCM itajitahidi kuingiza vijana wengi kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025 Mwenyekiti Dkt Samia amesema hayo leo tarehe 26 Julai
GE2025 - Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha 1 Mrisho Gambo - Arusha Mjini 2 Stephen Byabato - Bukoba Mjini 3 Luhanga Mpina - Kisesa 4 Ndaisaba Ruhoro - Ngara 5 Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu) 6 January Makamba - Bumbuli 7 Nicodemus Maganga - Mbogwe 8 Christopher Ole