copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
GE2025 - Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia . . . - JamiiForums CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na kuchuja mapendekezo ya majina ya Wagombea Taarifa hiyo inasubiriwa kwa hamu kubwa, kwani itabainisha majina ya wagombea waliopenya katika hatua za awali za uteuzi kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho tawala Updates
GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
GE2025 - Watu maarufu walioachwa katika kinyanganyiro cha Ubunge CCM . . . Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28 Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa
Wabunge wa CCM walioanguka kura za wajumbe - JamiiForums Katika kile kinachoonekana kama mabadiliko ya upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wabunge kadhaa waliokuwa wakitetea nafasi zao wamejikuta wakitemwa na wajumbe wa chama hicho katika kura za maoni zilizofanyika Agosti 4, 2025, katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Ingawa
GE2025 - Kura ya Maoni CCM Kufanyika Agosti 4, 2025 . . . - JamiiForums Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kitafanya kura ya maoni kwa wagombea wa Ubunge, Uwakilishi na Udiwani katika ngazi ya Kata Wadi na Majimbo kwa Tanzania Bara na Zanzibar Agosti 4, 2025 Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa ndani wa chama wa kupata wagombea wake kwa ajili ya Uchaguzi
Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 - JamiiForums 8 CCM inatambua kwamba utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo utafikia kikomo chake katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani hii Hivyo Chama kitazisimamia serikali zake kuandaa Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo kuelekea mwaka 2050, na kuanza utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Zanzibar ya mwaka 2020 – 2050
PostGE2025 - Vigogo Sita wa CCM kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la . . . Baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufungua rasmi mchakato wa kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vigogo sita wa chama hicho wamejitokeza leo kuchukua fomu, wakionesha nia ya kuliongoza bunge hilo katika muhula ujao 1 Tulia Ackson Alikuwa Spika
TANZIA - Mbunge wa Viti Maalum, Halima Nasoor (CCM) afariki dunia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Idd Nassor, kilichotokea leo Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Jijini Dar es Salaam alipokuwa
GE2025 - Vituko vya Aggrey Mwanri akiomba kura kwa Wajumbe CCM Vituko vya Aggrey Mwanri ambaye aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati akiomba kura kwa wajumbe wa CCM kwa ajili ya kupata ridhaa ya kuwa mbunge wa Jimbo la Siha Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro Soma Pia: GE2025 - Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni Chanzo: ITV
GE2025 - Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha 1 Mrisho Gambo - Arusha Mjini 2 Stephen Byabato - Bukoba Mjini 3 Luhanga Mpina - Kisesa 4 Ndaisaba Ruhoro - Ngara 5 Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu) 6 January Makamba - Bumbuli 7 Nicodemus Maganga - Mbogwe 8 Christopher Ole