copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
GE2025 - Watu maarufu walioachwa katika kinyanganyiro cha Ubunge CCM . . . Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28 Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa
GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025 Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kulichomalizika usiku wa kuamkia Julai 29, 2025
John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu . . . - JamiiForums Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA Akizungumza nje ya Mahakama
GE2025 - VIDEO: Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na . . . Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu Fuatilia
GE2025 - Maagizo ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm kurudisha majina ya . . . Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni? Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi
GE2025 - Hivi CCM mnaakili kweli? Aliyevunja Katiba, anaamua . . . Yaani Rais Mwenyekiti CCM Taifa, aliyevurunda, anaamua kubadilisha vifungu vya Katiba viendane naye, Huu sindo Udikteta? Kikao gani Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, au Kikao Cha Halmashauri Kuu kipi, kilichokaa, kujadili hayo yanayoendwa Badilishwa?? Je yanayobadilishwa ni Kwa Faida ya
Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine . . . Ni wakati sasa wa kufikiria upya mfumo wetu wa kisiasa Nashauri Tanzania iwe na chama kimoja pekee cha siasa – Chama Cha Mapinduzi (CCM) – kama ilivyo nchini China ambako Chama Cha Kikomunisti cha China (CCP) ndicho mhimili wa siasa, uchumi, na dira ya taifa Mfumo huu umesaidia China kuwa taifa lenye uthabiti wa kisera na maendeleo ya haraka, jambo ambalo na sisi tunaweza kujifunza nalo
GE2025 - Iringa: Mgombea alivyo piga magoti na kulia . . . - JamiiForums Wakuu! :D:D Watia Nia naona wanataka kuonewa huruma siyo Sera ndio ziwabebe Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Nguvu Chengula maarufu kama Sauti ya Simba, alipiga magoti na kutishia kulia machozi mbele ya wajumbe wa CCM Kata ya Kihesa, wakati