copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 - JamiiForums 8 CCM inatambua kwamba utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo utafikia kikomo chake katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani hii Hivyo Chama kitazisimamia serikali zake kuandaa Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo kuelekea mwaka 2050, na kuanza utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Zanzibar ya mwaka 2020 – 2050
Pre GE2025 - CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 . . . - JamiiForums Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu
Pre GE2025 - CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025 . . . - JamiiForums Ilani ya CCM ya mwaka 2015 ndani yake kulikuwa na kipengele cha "kukamilisha" mchakato wa katiba mpya, kilichofuata baada ya hapo ni Rais aliyenadi Ilani hiyo kupuuza kipengele hicho Kwa CCM ilani ni kipande cha karatasi tu
DSM - GE2025 - Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa . . . DSM GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha Waufukweni Thursday at 8:05 AM humphrey polepole vyombo vya habari Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 1 2 3 …
CCM yakanusha kukata majina ya waliochukua fomu - JamiiForums Chama Cha Mapinduzi(CCM)Kimekanusha taarifa zinazoesambaaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuwa Kuna baadhi ya watia nia wa Udiwani na Ubunge majina Yao yamekatwa huku wengine wakifanikiwa Kupita katika mchakato wa uteuzi Akizungumza na Waandishi wa Habari Leo Julai 13,2025 Jijini Dodoma Katibu wa
Pre GE2025 - Uchambuzi wa Kauli Mbiu ya CCM ya Uchaguzi . . . - JamiiForums Kwa ujumla, "Kazi na Utu, Tunasonga Mbele" ni kauli mbiu inayoakisi dhamira ya CCM ya kuendeleza maendeleo yanayozingatia utu wa kila Mtanzania Kwa wana-CCM, inawataka kuendeleza utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii huku wakidumisha maadili ya utu na mshikamano wa kitaifa
Pre GE2025 - DSM - Makalla: CCM kuzindua Ilani mpya ya 2025–2030 na . . . Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha
GE2025 - CCM: Marufuku wagombea kwenda na wapambe na msafara wa magari . . . Chama Cha Mapinduzi kimeeleza sababu za kuzuia shamrashamra za matarumbeta,ngoma,wapambe na pilipiki katika kuchukua na kurudisha fomu za ubunge na udiwani Taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu wa NEC Organaizesheni, Issa Haji Ussi kuhusu mwongozo wa na maelekezo kuhusu utaratibu wa uchukuaji
Pre GE2025 - CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye . . . - JamiiForums Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri ============================================ Chama Cha Mapinduzi kimepitisha marekebisho matatu kwenye katiba yao Marekebisho hayo yaliyopitishwa ni pamoja na: 1