copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Pre GE2025 - DSM - Alex Msama atangaza Tamasha la kuombea . . . - JamiiForums Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025 ndugu Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae kufanyika Mikoa 26 ya Tanzania
Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako Kila mtu anapenda kumiliki kitu kizuri ila baadhi kipato hakiruhusu, hii imepelekea kuwepo kwa bidhaa za kila aina sokoni ili kubeba pesa yoyote mteja aliyonayo Kwa upande wa TV zipo kampuni nyingi sana na hapa nazigawa kwenye makundi matatu 1 Samsung LG SONY Panasonic 2 TCL Hisense
Ukiachana na ujinga, maradhi, na umasikini, Unafiki ndio tishio zaidi . . . Mwalimu Nyerere alianzisha vita dhidi ya maadui watatu; ujinga, maradhi na umaskini Alikuwa na maana kwamba ikiwa Tanzania itaweza kupigana na maadui hao watatu kwa mafanikio, basi nchi hii ingeligeuka kuwa kisiwa cha maendeleo na maisha ya hadhi ya juu sana duniani Lakini tofauti na
Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar Jioni ya leo February 26 kutakuwa na kilele cha msimu wa pili wa tuzo za muziki zinazojulikana kama Trace Awards huko visiwani Zanzibar Tukio hilo litakalofanyika viunga vya hadhi ya juu kistarehe, Mora Resort zitahudhuriwa na mastaa wakubwa Afrika wakiwemo Davido, Rema, Fally Ipupa, WizKid
RIWAYA: Mtutu wa Bunduki (1 - 3) - JamiiForums Umoja huo ukitiwa nguvu na baadhi ya viongozi wazalendo, shupavu na mashuhuri kama Mwalimu J K Nyerere, Kwame Nkurumah, Jomo Kenyatta, Samora Machel, Robert Mugabe, Ahmed Ben Bella, Patrice Emile Lumumba, Nelson Mandela, Keneth Kaunda na wengine wengi
P-Diddy Party List Names (Celebrities Politicians and Royalty) 79 Bella Hadid Like her sister Gigi, Bella Hadid has been a regular at Diddy’s fashion and celebrity events, especially during Fashion Week 80 Zoe Kravitz The actress and musician has attended several of Diddy’s parties, including those with a focus on fashion and music 81 Diplo
Simulizi ya kijasusi: Nafsi zilizotelekezwa | JamiiForums NINI SIRI YA NAFSI ZILIZO TELEKEZWA? Inahusu nini, inamhusu nani, kipi kipo nyuma yake? Ungana nami kwenye mtiririko huu uweze kuelewa NAFSI ZILIZO TELEKEZWA inahusu nini Mwaka 1991, ni mwaka ambao umoja wa nchi za Kisovieti ulidondoka baada ya kushindwa kwenye vita baridi dhidi ya watu wa