|
- NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024. Yatazame hapa!
Dar es Salaam Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi Novemba 29, 2024 Matokeo hayo yametolewa rasmi leo, Alhamisi, Januari 23, 2025, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Said Mohammed Wanafunzi pamoja na wazazi
- Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne . . .
Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa
- MAKTABA TETEA: The Home of NECTA Past Papers - JamiiForums
Habari ya wakati huu wakuu Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa Nikiwa mmoja wa wadau wa elimu nchini, napenda kutoa shukrani na pongezi zangu kwa TETEA Inc ambao ni waanzilishi, wamiliki na wasimamizi wa Maktaba Tetea TETEA Inc ni nani? Kwa mujibu wa maelezo yao, TETEA Inc ni
- SI KWELI - Barua ya NECTA kuratibu zoezi la Kurekebisha Makosa ya . . .
Nimeona barua inasambaa Mtandaoni ikisema NECTA inaratibu zoezi la Kurekebisha Makosa ya majina kwenye vyeti vya Mwaka 2000-2023 kwa Malipo Barua hii inanipa mashaka sana, JamiiCheck nisaidieni kuhakiki
- necta - JamiiForums
Necta na wizara ya elimu mbona siwaelewi? Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua
- Baraza la mitihani (NECTA) yatangaza mtihani wa kidato cha nne kuanza . . .
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65 63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato
- Dkt. Said Ally Mohamed alichaguliwa kuwa Katibu mtendaji (NECTA . . .
DKT SAID ALLY MOHAMED alikuwa ni Afisa wa mitihani (ExaminationaL officer) wa chuo kikuu Huria cha Tanzania Mwaka 2021 alichaguliwa kama Katibu Mtendaji Baraza la mitihani (NECTA) Uteuzi huu ulikuwa ni zawadi safi aliyoifanya mwaka 2018 Kwa kuhakikisha wahitimu mwaka huo wako vizuri nna
- NECTA to use GPA in evaluating Form IV and VI - JamiiForums
In a move to match the grading system in secondary education to that of higher learning institutions, the National Examinations Council of Tanzania (NECTA) has introduced the Grade Point Average (GPA) system in evaluating Form Four and Form Six students effective this year and next year
|
|
|