- GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums
Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
- GE2025 - Watu maarufu walioachwa katika kinyanganyiro cha Ubunge CCM . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28 Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa
- GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025
Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kulichomalizika usiku wa kuamkia Julai 29, 2025
- CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na . . .
CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo Kwa mfano, kule Marekani, vyama
- PostGE2025 - Watu wamejiandaa kuyaona machozi ya CCM
Lazima watu pia wayaone machozi ya CCM bila hivyo dhihaka zitazidi ,hatutaheshimiana ,itafika mahali kaaskari tu kasiko hata na uhakika wa bima ya afya katakuwa kanatishia raia kumbafu
- CCM kuchele - JamiiForums
MIMI NI MTOTO WA KADA WA CCM, KATI YA CCM NA CHADEMA KAMA NIKIAMUA LEO BILA UNAFIKI KUWA NA CHAMA NINAWEZA KUVUTWA ZAIDI KIHISIA NA CCM, ILA HILO HALINIFANYI MJINGA KUUNGANA NA CCM MTANDAO YA SAMIA, KIKWETE, ROSTAM, ANGELA KIZIGA, ABDUL NA KUNDI LA WATEKAJI NA WAUAJI LINALOFANYA MAIGIZO
- CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi
Kama upo Dodoma wakati huu utayasikia haya; CCM Kizimkazi, CCM Janjaweed tayari wanamsagia kunguni Dr Nchimbi, kwamba asijikute yeye ni Rais Hawapendezwi
- PostGE2025 - CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa . . .
PostGE2025 CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa na kimataifa Jidu La Mabambasi Nov 4, 2025 aibu ccm kimataifa kitaifa
|