|
- Busu la Kenge ndio member Bora wa JF kwa mwaka huu 2025 mpaka sasa
Mzuka wana Jamvi Busu la Kenge ni miongoni mwa member anayekuja kwa Kasi Jf na kujizolea umaarufu ndani ya mda michache Yote sababu ya mada zake zenye akili kubwa , mikato yake Unique jukwaani , ucheshi nk yaani unyama sana Jamaa apewe maua yake na heshima kubwa hapa Jf Na alindwe kwani
- Tukumbushane: kufungiwa JF kunaisha lini? - JamiiForums
Nilitegemea hili la uchaguzi , kufungiwa internet na kufunguliwa litainasua JF Hii ni mpaka lini?
- Jukwaa la Siasa - JamiiForums
Tanzania's Political Forum Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
- JF roll call - JamiiForums
Wakuu natumai wote ni wazima Kama upo hai na mzima wa afya, wewe kama member wa JF pita hapa ucomment chochote tujue bado upo nasi Teko Modise nipoooo
- Habari na Hoja mchanganyiko - JamiiForums
Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
- Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao . . . - JamiiForums
Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda Tafadhali mwana JF usishindane na serikali
- Ndugu wadau wa JF, Msione nipo kimya, ni ubize na u serious wangu tu . . .
Ndugu wadau wa JF, Msione nipo kimya, ni ubize na u serious wangu tu kwenye kampeni kura za maoni CCM, Msichoke kuniombea
- PostGE2025 - Maseneta wawili wa Marekani wataka Marekani . . . - JamiiForums
Wakuu Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa? Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 Chanxo; Risch, Shaheen
|
|
|