|
- PostGE2025 - Diamond: Mungu azilaze pema roho za waliotangulia
PostGE2025 Diamond: Mungu azilaze pema roho za waliotangulia DuaZaMama Nov 4, 2025 diamond platnumz mungu azilaze pema Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
- Wananchi mtandaoni waiwakia kampuni ya Pepsi kumuondoa Diamond kama . . .
Wananchi mtandaoni waiwakia kampuni ya Pepsi kumuondoa Diamond kama balozi wake watishia kutokunywa pepsi Hasira za wananchi je, zinaweza kupelekea vituo vya kampuni hio kulengwa kwenye maandamano yajayo ?
- Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake
Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo
- Je Diamond atakuwa chawa rasmi wa Baba Levo ikiwa Baba Levo atapewa . . .
Uwezekano wa baba levo kupewa uwaziri wa michezo upo ,iwe kwa kutumia ushawishi wa Diamond au yeye mwenyewe maana uwezo wa kujieleza anao Sasa swali langu lipo hivi, je Diamond anaweza akawa chawa rasmi wa baba levo kama itatokea baba levo akaukwaa uwaziri?
- Diamond anapokuwa demon - JamiiForums
Kitendo cha Diamond kumuunga mkono Samia kweye siasa uchwara kitamgharimu Kwa sasa najiuliza kama huyu ni Diamond au Demon Naoma msaada
- Mali, nyumba na Ofisi za Wasafi vya Diamond vinatembelewa lini?
Kwa watu wetu walivyouawa, machawa na machangudoa wote waliomsaidia imla Ida Amina Mama lazima watembelewe haraka sana iwezekano
- Hatimaye pepsi wamvua ubalozi Diamond Platnumz - JamiiForums
Lilikuwa ni suala la muda tu Hatimaye imetiki Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi Tanzania Sasa hapa inabidi nguvu nyingine itumike kuwashawishi serengeti nao wamtose ubalozi Pia jambo lingine Diamond amefuta picha ya
- Twendeni tukaripoti account ya Insta ya Diamond Platnumz ifungiwe . . .
Haijaisha mpaka iishe Tunaanza walipoishia wao Kama kweli una uchungu wa watu waliopoteza maisha kwa ajili ya mama yule kuingia madarakani kibabe akisaidiwa na wasanii uchwara kumpa promo Promo zao zimewaponza, tunaanza walipoishia wao, wasifikiri vita imeisha ,ngoma bado mbichi sana
|
|
|