|
- Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake
Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo
- PostGE2025 - Diamond: Mungu azilaze pema roho za waliotangulia
PostGE2025 Diamond: Mungu azilaze pema roho za waliotangulia DuaZaMama Nov 4, 2025 diamond platnumz mungu azilaze pema Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
- Need step-by-step guide on how to install Cbbe 3ba.
Demoniac, Valhalla, Tempered, SG, The Pure, Diamond you obviously want the CBBE variant, and beefy hardware if you want 8K skins If your PC is on an older side, consider going with 2K textures instead Aaaand finally, we get to CBBE 3BA You really should go through its description in detail Instructions are quite comprehennsive
- Hatimaye pepsi wamvua ubalozi Diamond Platnumz - JamiiForums
Lilikuwa ni suala la muda tu Hatimaye imetiki Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi Tanzania Sasa hapa inabidi nguvu nyingine itumike kuwashawishi serengeti nao wamtose ubalozi Pia jambo lingine Diamond amefuta picha ya
- Wananchi mtandaoni waiwakia kampuni ya Pepsi kumuondoa Diamond kama . . .
Wananchi mtandaoni waiwakia kampuni ya Pepsi kumuondoa Diamond kama balozi wake watishia kutokunywa pepsi Hasira za wananchi je, zinaweza kupelekea vituo vya kampuni hio kulengwa kwenye maandamano yajayo ?
- Je Diamond atakuwa chawa rasmi wa Baba Levo ikiwa Baba Levo atapewa . . .
Uwezekano wa baba levo kupewa uwaziri wa michezo upo ,iwe kwa kutumia ushawishi wa Diamond au yeye mwenyewe maana uwezo wa kujieleza anao Sasa swali langu lipo hivi, je Diamond anaweza akawa chawa rasmi wa baba levo kama itatokea baba levo akaukwaa uwaziri?
- Mali, nyumba na Ofisi za Wasafi vya Diamond vinatembelewa lini?
Kwa watu wetu walivyouawa, machawa na machangudoa wote waliomsaidia imla Ida Amina Mama lazima watembelewe haraka sana iwezekano
- Diamond aweweseka, aanza kununua maroboti yamjazie idadi ya followers . . .
Dozi inaanza kumuingia taratibu Diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo Kaja na drama zake na kizuchu wake
|
|
|