|
- Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake
Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo
- Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu . . .
Wakuu Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli? Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu Msanii wa lebo yake WCB Wasafi Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya
- Diamond, freemason siri nje - JamiiForums
Diamond akisalimiana na mtasha kwa ishara ya Kifreemason Stori: Shakoor Jongo na Erick Evarist SIRI imefichukua kuwa madai kwamba kichaa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa Diamond Platnumz ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason a k a Wajenzi Huru zilianza
- Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 . . . - JamiiForums
Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1 3 na Getty Images Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio makubwa, Getty Images, imetangaza rasmi kuuza picha moja ya Diamond Platnumz kwa $499 (Tsh Milioni 1 3 =) ikiwa na ubora (quality) wa juu kabisa – (4188 x
- Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu
Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka
- Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na . . .
Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa
- Very low fps in Diamond City. - Discussion - Nexus Mods Forums
Upon entering a Diamond City and gazing all over the city, I get 28-31FPS(It gets better when I look in other directions, where there is not so much objects in sight) However in Boston area my fps is 40-60 I tested it on lowest settings And increased settings seem to not affect perfomance in D
- Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa . . .
Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na vitu vya thamani kama saa, cheni, mikufu, meno ya madini na mambo mengine ikiwemo pesa za kigeni Katika makala haya ya kiuchumi imemwangazia Diamond kama endapo atageuza mali hizo ambazo anatumia kutambia kuwa fursa basi ndie atakayekuja kuwa msanii wa kwanza bara la afrika kuwa tajiri
|
|
|