|
- GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums
Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
- GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025
Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kulichomalizika usiku wa kuamkia Julai 29, 2025
- GE2025 - VIDEO: Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na . . .
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu Fuatilia
- Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine . . .
Ni wakati sasa wa kufikiria upya mfumo wetu wa kisiasa Nashauri Tanzania iwe na chama kimoja pekee cha siasa – Chama Cha Mapinduzi (CCM) – kama ilivyo nchini China ambako Chama Cha Kikomunisti cha China (CCP) ndicho mhimili wa siasa, uchumi, na dira ya taifa Mfumo huu umesaidia China kuwa taifa lenye uthabiti wa kisera na maendeleo ya haraka, jambo ambalo na sisi tunaweza kujifunza nalo
- John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu . . . - JamiiForums
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA Akizungumza nje ya Mahakama
- GE2025 - Ushauri: Rais Samia ajiuzulu Uenyekiti abakie Rais ili CCM . . .
GE2025 Ushauri: Rais Samia ajiuzulu Uenyekiti abakie Rais ili CCM ijisafishe na Mzee Kikwete asimamishwe uanachama kwa muda kupisha usafi
- GE2025 - Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya . . . - JamiiForums
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025
- GE2025 - Maagizo ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm kurudisha majina ya . . .
Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni? Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi
|
|
|