|
- Kiswahili Insha Examples - Insha za Kiswahili - Elimu Centre
Looking for Kiswahili Insha Examples? Want to set exams for your class and have no idea on Isha to set Below are some Kiswahili Insha Examples that you can use 1 Umepewa dakika 40 Kuandika Insha yako Endeleza isha ifuatayo kwa naneo yasiyopungua ukurasa mmona na nusu Alfajiri hiyo tulidamka tukiwa na furaha kama tasa aliyepata mwana
- Section: MADA 5:UTUNGAJI WA INSHA ZA MASIMULIZI - REB
• Uwezo mahususi wa mada ndogo: Kutunga insha fupifupi za masimulizi kwa kuzingatia kanuni za utungaji • Malengo ya ujifunzaji: - Kutoa maana ya insha za masimulizi, - Kuonyesha sifa za aya njema, - Kutaja sehemu kuu za insha, - Kutoa na kueleza aina mbalimbali za insha,
- Andika mfano wa insha ya masimulizi in | StudyX
Mfano huu unaonyesha jinsi ya kuandika insha ya masimulizi kwa kutumia lugha ya kiswahili Ni muhimu kuchagua mada ambayo inakuvutia na kuandaa rasimu kabla ya kuandika insha Tumia lugha ya kishairi na vielelezo ili kuifanya insha iwe ya kuvutia Zingatia mpangilio wa matukio ili kuhakikisha hadithi inasomwa kwa urahisi
- AINA ZA INSHA KISWAHILI: Mwongozo wa Kuandika Insha za . . . - Studocu
Hizi ni Insha za ubunifu ambazo mwanafunzi hupewa kifungu cha maneno kinachopaswa kujitokeza katika insha yake Baadhi ya insha za aina hii huwa zimetangulizwa na mwanafunzi hutakiwa akamilishe na nyinginezo huwa na kimalizio Japo mwanafunzi ana uhuru wa kuiendeleza insha yake
- Mifano mbalimbali ya insha zinazotahiniwa katika viwango vyote katika . . .
Hizi ni insha ambazo zitaibua mhemko wa unadishi wa wanagenzi katika madarasa ya 6, 7 na 8 hadi kidato cha pili Mwanafunziu ambaye atapitia kazi hii hatajuta kamwe kwani nyota yake ya insha itazidi kung'aa
- Insha - Class 7 Kiswahili Revision Notes - Easyelimu
Insha hii huwa na hisi mbili: furaha na huzuni Vinaweza visa vya kubuni au halisi Mtahiniwa aweza kutahiniwa mara tatu Mtahiniwa lazima aane insha na atamatishe kwa kutumia kimalizio hicho Visawe vya huzuni ni masikitiko, majonzi, jitimai, buka, chonda na msiba Hivi ni visa vinanyoleta majonzi, huzuni, simanzi, sikitiko au jitimai
- AINA ZA INSHA – Kiswahili Sanifu
Masimulizi: Hujishughulisha na kusimulia kisa au visa kwa kutumia maelezo ya mfululizo Mjadala: Huzua, kutetea na kupinga aina fulani ya mawazo kwa misingi ya uthibitisho ulio dhahiri Kubuni: Hutumia msingi fulani wa uhalisia (ukweli) katika kujenga hadithi ambayo kwa kweli haikutokea
- Insha ya Masimulizi - Kiswahili Insha Notes | Easyelimu
Ambapo unatakiwa kusimulia hadithi, kisa au tukio kuhusu jinsi mambo fulani yalivyotokea Huweza kuanzia kwa ‘Ilikuwa…
|
|
|