Vionjo vya fasihi ya kisasa ya kiswahili katika nyimbo teule za singeli Vionjo vya fasihi ya kisasa ya kiswahili katika nyimbo teule za singeli Selanda Zahoro By: Zahoro, Selanda Material type: TextPublication details: Dodoma : Chuo Kikuu cha Dodoma, 2018 Description: x, 108p : ill ; 30 cmSubject (s): Singeli LOC classification: PS 3545 Z34 2018
Mdhihiriko wa Vionjo vya Fasihi ya Kisasa MAKALA HALISI katika Nyimbo . . . shwa katika makala hii Makala imebaini kuwa nyimbo za Kiswahili za Taarabu zina ukwasi wa vionjo ambavyo vinaziweka katika kapu la fasihi ya kisasa Vionjo hivyo ni pamoja na mwanzo wenye kii ikio chenyesauti kali na zenye vishindo, matumizi ya mbinu ya cheba, matumizi ya maneno ya mtaani na matumizi ya nyenzo za kisayansi na kiteknolojia
RUAHA J O U R N A L OF ARTS AND SOCIALSCIENCES (RUJASS) po kwa tafiti hizo, dhana ya vionjo vya fasihi ya kisasa katika tanzu za fasihi simulizi bado h zijachunguzwa kwa kina Makala hii imechunguza vionjo vipya vya fasihi ya kisasa katika nyimbo za Kiswahili za Taa
16D3D64C - RUCU Makala hii inahusu mdhihiriko wa vionjo vya fasihi ya kisasa katika nyimbo teule za Taarabu Data za msingi zilizofafanuliwa katika makala hii zimepatikana maktabani kwa kutumia njia ya uchanganuzi wa matini
Fasihi Ya Kiswahili | PDF Kiswahili kisizingatie asili ya mwandishi badala yake kizingatie maudhui ya fasihi ya Kiswahili ambayo yanatakiwa kuakisi mila, utamaduni na tajiriba ya mwananchi wa Afrika Mashariki
Vionjo vya Riwaya Mpya ya Kiswahili - African Journals OnLine Katika kiwango cha kimataifa, Nagona inaonekana kujishughulisha na matatizo kama yale ya uchafuzi wa mazingira au kuhusu mwanya unaozidi kutanuka baina ya nchi tajiri na nchi za kimasikini au tishio la vita vya silaha za maangamizo