RECAP: Diamond akifanya haya atatumbuiza O2 Arena London (Video) Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP MANDO @el_mando_tz amezizungumzia Show za Diamond Ujerumani na Barcelona lakini pia Show ya Mabantu Ujerumani Anasema kuwa shangwe ambalo wasanii wetu wamepata inatupa picha kuwa muziki wetu unakua na kuna sehemu nzuri umefika mpaka sasa